Elon Musk Kutoza $20 Kwa Uthibitishaji wa Twitter – Ripoti
Elon Musk Kutoza $20 Kwa Uthibitishaji wa Twitter – Ripoti. Twitter inatazamiwa kuanza tozo ya huduma yake ya kipekee , kwa kulazimisha akaunti zilizothibitishwa kulipa ada ya $19.99 kila mwezi ili kuendelea kuwa na alama ya uthibitisho kwenye mtandao huo, huku bosi na Mmiliki mpya Elon Musk akithibitisha Jumapili iliyopita kwamba mchakato huo “unafanyiwa kazi”,