Nafasi za Kazi Precious Miracles Thrifts store – Binti wa Mauzo (Sales Staff)
Precious Miracles Thrifts store ‼️Tunaajiri‼️Tunaajiri‼️Tunaajiri‼️ Nafasi zipo Duka letu la ARUSHA NA Dar es Salaam‼️ Kama wewe ni Binti mwenye Sifa zifuatazo. Tuma CV yako kwenye email preciousmiraclestz@gmail.com. Tafadhali zingatia vigezo hivi na hakikisha CV yako inaonyesha qualifications tulizohitaji. ✅️ Una uzoefu wa kazi za Mauzo. Unajua namna ya kuongea na wateja na kutafuta wateja✅️Mchangamfu