Nafasi 2 za kazi , Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa – Mtendaji wa Kijiji Daraka III
Nafasi 2 za kazi , Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa – Mtendaji wa Kijiji Daraka III Kumb. Na. FA.228/613/01/025 20/02/2024 TANGAZO LA NAFASI YA KAZI Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa anawatangazia Watanzania wenye sifa na nia ya kufanya kazi katika Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa kuomba nafasi za kazi zilizotajwa hapo chini,