Nafasi 2 Za Kazi, Cattieglamourbeauty – Mtaalamu wa Saluni
Nafasi 2 Za Kazi, Cattieglamourbeauty – Mtaalamu wa Saluni Cattieglamourbeauty salon ,Iliyopo Makumbusho, Dar es Salaam inatoa nafasi za kazi kwa kijana wa kiume au wa kike mwenye ujuzi juu ya mambo yote yahusuyo urembo wa kike :- Tangazo: Salon inahitaji mtu jinsia yoyote mwenye ujuzi wa kusuka,kufanya makeup aina zote,kupamba maharusi na kutengeneza kucha