Captain/Master Vacancy at Dhow in Dar
Captain/Master Anahitajika Captain wa Kuendesha Boti(wooden boat)/Dhow. Kwenye boti iitwayo DHOW IN DAR Vigezo1.Lazima awe na Leseni2.Lazima awe na miaka kuanzia 28-503.Awe na uzoefu wa kuendesha boti kwa muda usiopungua miaka mitatu(3-above years)4.Awe raia wa Kitanzania na ambaye hajawahi kuwa na hatia Majukumu1.Kuendesha boti kila siku kama atakavyopangiwa 2.Kuhakikisha usalama wa mizigo ya abiria,usalama wa