RATIBA Kamili ya Raundi ya 16 UEFA Champions League 2023/2024
Habari Njema UEFA Champions League sasa inaendelea tena, ikiwa imefikia katika hatua ya 16 Bora, pata ratiba kamili hapa , kazi au Shughuli pevu inaanza sasa ! RATIBA Kamili ya Raundi ya 16 UEFA Champions League 2023/2024 (Leg 1 of 2) February 13-2024 UEFA Champions League23:00 Copenhagen vs Manchester City23:00 RB Leipzig vs Real Madrid