Captain/Master
Anahitajika Captain wa Kuendesha Boti(wooden boat)/Dhow. Kwenye boti iitwayo DHOW IN DAR
Vigezo
1.Lazima awe na Leseni
2.Lazima awe na miaka kuanzia 28-50
3.Awe na uzoefu wa kuendesha boti kwa muda usiopungua miaka mitatu(3-above years)
4.Awe raia wa Kitanzania na ambaye hajawahi kuwa na hatia
Majukumu
1.Kuendesha boti kila siku kama atakavyopangiwa
2.Kuhakikisha usalama wa mizigo ya abiria,usalama wa abiria pamoja na wahudumu wote ndani ya boti kuanzia mwanzo hadi mwisho wa safari
3.Awe mkazi wa Dar es salaam na awe mtu anayejituma kufanya kazi yake
4.Lazima ajue kufanya sailing(kutweka)
5.Lazima afahamu majukumu yote ya captain na ayatimize
6.Awe mtu mwenye nidhamu na tayari kufuata taratibu zote za kampuni kwa mujibu wa mkataba atakaofanya.
7.Ndiye msemaji na kiongozi mkuu mwenye kutoa amri katika boti Pia anawakilisha wamiliki wa boti popote boti ilipo.
Kwa taarifa zaidi juu ya huduma zetu Tembelea kurasa wetu wa instagram @dhowidar
Link ya instagram: https://www.instagram.com/dhowindar/profilecard/?igsh=MXBvNThrZTA5NnZ0dQ==
Maombi yatumwe kwenda: Email: monicacakesandevents@gmail.com
Mawasiliano WHATSAPP TUU NA SIYO KUPIGA : Airtel +255693266327 Vodacom 0755638284