Habari za asubuhi Kaka
Kuna mmiliki shule anahitaji mtu awe mkuu kwenye shule yake kwa vigezo vifuatavyo,
- Awe ana degree ya ualimu
- Awe na experience na mtaala WA Cambridge
3.strict
How to Apply :
WhatsApp your CV
NO calls
Update: Adequate Applications have already been received now, next step of Recruitment process is interviews.
See below :-
