Je una Mtoto au Ndugu wa JINSIA yeyote mwenye umri wa Miaka kuanzia Umri wa Miaka 8 na kuendelea, je mtoto huyo Ana interest ya kujua jinsi ya kutumia vyombo vya muziki kama vile Kinanda, Gitaa na Vile vile kusoma ‘musical notes’ na kuuelewa muziki kiundani.
Je mnaweza kufika katika viunga vya Mkoa wa Arusha, Basi mlete Mwanao kwa Mr. Liheta, mtaalam Mbobezi wa Mambo haya, ili amfundishe katika bei ya Kizalendo anapatikana kwa kupitia Namba +255 754378205 kwa mipango na maelekezo zaidi, kuanzia saa Mbili kamili Asubuhi na kuendelea, mpaka walau saa kumi na Moja Jioni tu.