TAARIFA MUHIMU.
KCB BANK ikishirikiana na KCB FOUNDATION imejitolea kulipa ada 100% kwa ajili wanafunzi ili kujifunza ufundi stadi kwa VETA zinazojulikana kisheria fani zipo nyingi kam vile
UDEREVA
MAPISHI
UMEME WAMAJUMBANI
MAPAMBO
USEREMALA n.k.
Katika mikoa ifuatayo
ZANZIBAR-UNGUJA na PEMBA
DARESALAAM
MOROGORO
KILIMANJARO
ARUSHA
KAHAMA
MWANZA.
Kumbuka ADA unalipiwa na KCB BANK
ukipata taarifa hii mtarifu na mwenzako
OKOA VIJANA MTAAÑI
AHSANTE.
KCB BANK TZ
link yq kujaza form :-
Mwisho wa kujaza ni tarehe 26/07/2023.